Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
ZEC Mhe Jecha.S.Jecha akipokea fomu za Mgombea Urais kupitia Chama cha
CCK zimeletwa kwa niaba ya Mgombea na Ndg Salum Ali Omar. akikabidhi kwa
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Mhe Jecha.SJecha akisaini Fomu za Mgombea wa CCK baada ya kuwakilishwa
kwa niaba ya Mgombea na Mwanachama wa Chama hicho Ndg Salim Ali Omar,
akimuwakilisha Mgombea wa Chama cha CCK Mhe. Ali Khatib Ali amepata
dharua kushindwa kufika kukabidhi fomu hizo tume.