DK MAGUFULI AKUMBANA NA UMATI MKUBWA WA WATU TABORA MKUTANO WA KAMPENI


Mgombea urais wa ccm Dk John Pombe Magufuli amepokewa vizuri na wakazi wa mkoa wa Tabora katika mkutano wake wa kampeni kama watu walivyofurika katika uwanja wa michezo wa Ally Hassan Mwinyi kumsikiliza wakati akinadi sera za chama hicho ili kuweza kupata ridhaa ya kumchagua katika nafasi hiyo ya urais pamoja na kuwaombea wabunge na madiwani kuwapigia kura ya ndiyo katika uchaguzi mkuu utaofanyika Oktkba 25 mwaka huu.