Nancy mshindi Tuzo la Komla Dumor


Marehemu Komla Dumor
Mwanahabari kutoka Uganda, Nancy Kacugira ni mshindi wa Tuzo la kwanza la kumuenzi aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Komla Dumor.
Tuzo hilo lina lengo la kuendelea kuimarisha uandishi wa habari kuhusu Afrika