Matokeo ya Makete haya hapa Pitia

Matokeo ya jimbo la uchaguzi la Makete mkoani Njombe ambalo lilitakiwa kurudia matokeo na NEC ya CCM kwa kupokea malalamiko.

Katika matokeo hayo aliye kuwa wa kwanza awa wa Pili huku wengine wakiendelea kuwa na nafasi zake.

Matokeo ni kama ifuatavyo Dr. Norman Sigalla 8838 mkuu wa wilaya ya mbeya, Eng Binhlith Mahenge waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais mazingira kura 7885, Fabian  mkingwa 74, bonic muhami 124, Lunyo rafael 42, kura zilpigwa 17061, na kura zilizo haribika 98 na zilizo pigwa 16963.

Licha ya uchaguzi huo kuwa wa kawaida lakini kuna kura zimeharibika.

Matokeo ya liyo pita yalikuwa kama ifuatavyo Matokeo ya awali katika uchaguzi wa kwanza jimbo hilo kulikuwa na wagombea watano walliokuwa waking’ang’a kuchaguliwa na wananchi kuwakilicha chama chao katika uchaguzi mkuu Oktoba 25 mwaka huu mbunge wa jimbo hilo WBinilith Mahenge alipata kura 8534 Norman Sigala kura 8211, Bonic Muhami 500, Fabianus Mkingwa kura 466 na Lufunyo Rafael 226.

Related Posts