Kutoka mitandao ya kijamii


‪#‎MATUKIO‬ Mgombea Urais wa Chadema kupitia UKAWA, Edward Lowassa akiwa kwenye daladala asubuhi hii kuangalia kero za wananchi maeneo ya Gongo la mboto kuelekea Chanika .
Nini maoni yako?