Kamanda wa Polisi Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misimeamesema saa tatu na dakika 45 asubuhi, mabehewa manne yaliacha njia na kusababisha ajali lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa.
Amesema chanzo cha ajali hakijafahamika ila ajali imetokea wakati treni ikiwa kwenye mwendo katika stesheni ya Kikombo kuelekea kusimama, injini na Mabehewa hayo yakiwa kwenye mwendo yalihama njia ambapo July 29 2015 zilifanyika jitihada za kufaulisha abiria katika mabehewa mengine pamoja na kuunga injini nyingine ili safari iendelee.
N
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)