Uchaguzi wa M-Nec CCM wilaya ya Njombe ulienda hivi katika picha






 Mwiguru Mchemba alikwepo alisema yake kisha kaondoka

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na watoto Pindi Chana alikuwa mgeni rasm
 wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Njombe






 Shangwe za ushindi nzilikuwa hivi





 Wakwanza Kushoto Mwenyekiti rasmi wa CCM wilaya ya Njombe, na Wapili ni Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa M-Nec.

 wazee waasisi wa CCM  wilaya ya Njombe hawakubaki nyuma walikwepo nao pia
TUMEFIKA MWISHO WA SHOO YA UCHAGUZI BOFYA HAPA KUSOMA TANGAZO LA CHUO CHA MADINI KATAVI