![]() |
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika Davos Uswisi usiku wa kuamkia leo Januari 23, 2014
|
![]() |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa
Uingereza Mhe. Niuck Clegg walipoikutana na kufanya mazungumzo katika
hoteli ya Sheraton Davos, Uswisi Janaury 23, 2014
|
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kiwete akutana na kufanya mazungumzo na
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli
ta Sheraton Davos, Uswisi, January 23, 2014
|
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu
wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah
katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi, January 23, 2014
|