Mgeni
rasmi na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia Shauri
akikata keki maalumu ya kuchangisha fedha zinazowasaidia baadhi ya
wanafunzi wanaokubwa na matatizo ambayo familia zao hushindwa kuwasaidia
.
Baadhi
ya wanafunzi wa kike waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha
pili suleni hapo walizawadiwa katika hafla hiyo. Mgeni rasmi wa na
Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia Shauri akimpa
zawadi mmoja wa wanafunzi hao.
Mgeni
rasmi wa na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia
Shauri akilishwa keki na mmoja wa washiriki katika maadhimisho hayo.
Mgeni
rasmi wa na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia
Shauri (kulia) akilishwa keki na Mkufunzi Chuo cha Mafunzo ya Jinsia
(GTI) cha TGNP, Rashida Shariff kwenye hafla hiyo.