WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 11/01/2014.
[Mikoa ya Morogoro (Kusini) na Ruvuma]: [Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
|
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
| |
[Mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
30°C
|
13°C
|
12:34
|
12:46
|
D'SALAAM
|
33°C
|
26°C
|
12:17
|
12:43
|
DODOMA
|
30°C
|
18°C
|
12:32
|
12:56
|
KIGOMA
|
27°C
|
20°C
|
12:57
|
01:19
|
MBEYA
|
22°C
|
14°C
|
12:36
|
01:10
|
MWANZA
|
28°C
|
19°C
|
12:49
|
01:00
|
TABORA
|
26°C
|
17°C
|
12:45
|
01:07
|
TANGA |
32°C
|
25°C
|
12:20
|
12:42
|
ZANZIBAR
|
34°C
|
25°C
|
12:17
|
12:43
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya
Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 13/01/2014: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 11/01/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.