Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa
Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu,
jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwange,
kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Amos Makala, kuwa
Naibu Waziri wa Maji, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu,
jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jenista Mhagama, kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Ufundi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar
es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana,
kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, katika hafla fupi
iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa
Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu,
jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Juma Nkamia, kuwa
Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, katika hafla fupi
iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa, kuwa
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Picha ya pamoja ya Rais Kikwete na mawaziri wote
Picha ya pamoja ya Rais na Manaibu Waziri wapya walioapishwa leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Waziri wa Maliasili na
Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja
Kotta na familia yake, baada ya kuapishwa
katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo. Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.
Wageni mbalimbali wakifuatilia tukio hilo.
Na Father Kidevu
Na Father Kidevu