Ni moja kati ya nyumba 14 katika Kijiji
cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni ziliztoathirika kwa moto mkubwa
ulitokea majira ya saa 5.00 asubuhi ya jumapili huku wakaazi wake
wakichanganyikiwa kutokana na maafa hayo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini
Pemba Shehani Mohd Shehani akitoa tathmini ya awali ya uchunguzi wa moto
uliotokea Shumba Mjini mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Sei aliyefika kijijini hapo kuwapa pole wananchi walioathirika na
maafa hayo.
Baadhi ya wananchi 100 ambao nyumba zao
14 zimeathirika na vibaya na moto katika Kijiji cha Shumba Mjini
wakipata hifadhi kwenye madrasa moja Kijijini hapo.
Moja kati ya nyumba 14 zilizoathirika na
moto katika kijiji cha Shumba Mjini ambapo wakaazi wake wakiwa
wamechanganyikiwa kutokana na janga hilo.