Utalii na Elimtaa: IDADI YA WATALII WA NDANI NA NJE HIFADHI YA ZIWA MANYARA YAWAKUNA WANAHABARI IRINGA


Watalii wa ndani na nje wakiwa katika hifadhi ya Taifa ya  ziwa Manyara  jana(Domestic and foreign tourists while in the National Park Lake Manyara yesterday)
Gari  la  watalii wa ndani wakitembelea  hifadhi ya Taifa  ya ziwa Manyara kama  walivyokutwa na kamera  ya mtandao  huu(Car of domestic tourists visiting national parks of Lake Manyara as arrested and this network camera)
Tembo wakinywa maji katika hifadhi ya  Taifa ya  ziwa Manyara jana  hifadhi  hiyo  inaongoza kwa  kuwa na tembo wengi  wanaotembea makundi makubwa  zaidi (Elephant they drink water in the reservoir lake Manyara National park's yesterday and elephants that leads to many more who walk large groups
you are welcome to Tanzania will see them live
)
mtumbwi ambao  hutumika kwa utali wa majini katika hifadhi ya Taifa ya  ziwa Manyara (boat that is used for marine tourism in the National Park Lake Manyara)
Wanahabari  wa vyombo mbali mbali kutoka mkoa  wa Iringa  ambao wametembelea  hifadhi ya Taifa ya ziwa Manyara wakizungumza na  watalii wa kigeni ambao pia  wamefika katika hifadhi  hiyo  kutalii jana (Press the vessels far away from Iringa region who have visited National Park Lake Manyara talking with foreign tourists who also came up in the reserve trips.) 
Na Francis Godwin