UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 12/12/2013






Elimtaa na UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 11/12/2013

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 12/12/2013.          
 

[Mikoa ya  Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya  Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Dodoma  na Singida]:
[Mikoa ya Kigoma naTabora]:



Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua

[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na  Tanga]:
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

 [Mikoa ya Mtwara na Lindi]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

ANGALIZO: UPEPO MKALI UKIAMBATANA NA MAWIMBI MAKUBWA UNATARAJIWA NYAKATI ZA USIKU KATIKA ZIWA VICTORIA HUSUSANI MIKOA YA KAGERA NA MWANZA.

VIPINDI  VYA  MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA  MIKOA  YA ARUSHA, KILIMANJARO, MANYARA, KIGOMA, TABORA, KAGERA, MARA NA MWANZA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C                           
16°C               
12:21
12:35
D'SALAAM
33°C           
24°C
12:02
12:32
DODOMA
31°C
21°C
12:18
12:44
KIGOMA   
27°C
21°C
12:44
01:06
MBEYA
27°C
14°C
12:22
12:58
MWANZA
28°C
18°C
12:36
12:48
TABORA
26°C
18°C
12:32
12:54
TANGA
33°C
24°C           
12:07
12:29
ZANZIBAR
31°C           
24°C           
12:02
12:32

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa  kwa Pwani yote .

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo .  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 14/12/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                           
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 12/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.