UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 18/12/2013




WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 18/12/2013.
           
 [Mikoa ya Iringa, Mbeya na  Rukwa]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]: [Mikoa ya Dodoma  na  Singida]:
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:



Hali ya mawingu kiasi , mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya  Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Ruvuma]:



Hali ya mawingu kiasi,  mvua katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Morogoro na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]



Hali ya mawingu kiasi,  mvua nyepesi katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

ANGALIZO: VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA                             
                         MIKOA YA IRINGA, MBEYANA RUKWA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C                          
15°C                
12:21
12:35
D'SALAAM
33°C           
27°C
12:02
12:32
DODOMA
31°C
21°C
12:18
12:44
KIGOMA   
29°C
21°C
12:44
01:06
MBEYA
26°C
14°C
12:22
12:58
MWANZA
26°C
19°C
12:36
12:48
TABORA
29°C
18°C
12:32
12:54
TANGA
32°C
24°C           
12:07
12:29
ZANZIBAR
33°C           
26°C           
12:02
12:32

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya  
                             Kaskazini na kutoka Kaskazini  kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi makubwa kiasi . 

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 20/12/2013: Mabadiliko kidogo
   
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 18/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.