Alikuwa pembezoni ya barabara kuu inayounganisha geti la Mtemere na la
Matambwe. Mdau Thomas wa HSK Safaris alikutana nae huko Selous Sahrubu
huyu. alikuwa peke yake na mwenye kuonyesha hali ya udhoofu.
Huyu nae aliamua kulala njiani kama tuta la TANROADS
Alipoona shari inakuja kweli akaamua kukimbilia eneo lake la kujidai.
Shukran ya picha kwa mdau Thomas wa HSK Safaris
Na Tembea Tz