WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 10/12/2013.
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
|
Hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo
mengi na vipindi vifupi vya jua
|
|
[Mikoa ya Kagera, Shinyanga,Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Kigoma naTabora]:
|
Hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya maeneo na vipindi
vifupi vya jua
|
|
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani
na Tanga]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mkoa wa Morogoro
(Kaskazini)]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika
maeneo machache na vipindi vya
jua
|
|
[Mikoa ya Ruvuma na
Morogoro (Kusini) ]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
*ANGALIZO: MVUA KUBWA
ZINATEGEMEWA KUENDELEA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MANYARA, KILIMANJARO NA ARUSHA
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
18°C
|
12:21
|
12:35
|
D'SALAAM
|
31°C
|
24°C
|
12:02
|
12:32
|
DODOMA
|
30°C
|
20°C
|
12:18
|
12:44
|
KIGOMA
|
26°C
|
20°C
|
12:44
|
01:06
|
MBEYA
|
23°C
|
14°C
|
12:22
|
12:58
|
MWANZA
|
27°C
|
19°C
|
12:36
|
12:48
|
TABORA
|
28°C
|
19°C
|
12:32
|
12:54
|
TANGA |
31°C
|
24°C
|
12:07
|
12:29
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
25°C
|
12:02
|
12:32
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 20 kwa saa kwa Pwani
yote .
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo .
Matazamio kwa siku ya Alhamisi:
12/12/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 10/12/2013.