Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo anaendelea na
ziara yake Mashariki mwa Kongo, ikiwa ni mara ya kwanza kuzuru eneo hilo
tangu kuzuka kwa mapigano kati ya vikosi vya serikali na makundi ya
waasi.
Grace Kabogo amezungumza na Mustapha Mwiti, Kiongozi wa mashirika ya
kiraia Mashariki mwa Kongo, na kwanza alitaka kujua wakaazi wa eneo hilo
wanatarajia nini kutokana na ziara hiyo. Kusikiliza mazungumzo hayo
bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
HABARI NA dw.de
Subscribe to:
Post Comments (Atom)