WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AWASILI ARUSHA by John Bukuku on November 17, 2013 in JAMII with No comments PG4A1703Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Jaji wa Mahakama ya Afrika, Mheshimiwa Jaji Sophia Kuffo (kushoto) na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magesa Stanslaus Mulongo baada ya kuwasili k wenye uwanja wa ndege wa Arusha, Novemba 17 kwa ajili ya kufungua mkutano wa Mjaji wa Afrika mjini Arusha Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) John Bukuku MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA


PG4A1703Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Jaji wa Mahakama ya Afrika, Mheshimiwa  Jaji Sophia Kuffo (kushoto) na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magesa Stanslaus Mulongo baada ya kuwasili k wenye uwanja wa ndege wa  Arusha, Novemba  17 kwa  ajili ya kufungua mkutano wa Mjaji wa Afrika  mjini Arusha Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)