Haikuwa kazi rahisi kuufikia msalaba huu uliopo katika safu ya mlima
Mbeya.Kilichokuwa kiikitutisha zaidi ni wingu zito lililotanda mara tu
baada ya sisi kufika msalabani hapa.Hofu ya kunyeshewa na mvua ikawa
mioyoni mwetu.Lakini tulipiga magoti na kumwomba mwenyezi Mungu.Naama
sala zetu zikarsikika maada ya manyunyu kidogo wingu hili unaloliona
hapa juu likasambaa
Mwandishi wa gazeti la Jamboleo Venance Matinya akifurahia kufika katika
msalaba huu kabla ya kuendelea na safari ya kupanda mlima hadi ilipo
minara ya vituo mbalimbali vya mawasiliano
Mwonekano wa jiji la Mbeya ukiwa katika eneo la msalaba mlimani
Safari
ikaendelea kutoka eneo la msalama na kupanda zaidi mlima hadi kilele
kikuu na baadaye kushukia katika kijiji cha Mbeya Peack kabla ya kushuka
mlima huo kurejea jijini Mbeya
Kuna wakati ilibidi kupumzika kwa muda kama anavyoonekana mwandishi
Venance Matinya akiwa hoi na kuliona jiwe hili kama mkombozi kwake
kwakuwa maeneo mengine ni vigumu kukaa kwani ungeweza kuhisi
kizunguzungu.
SAFARI HII IMEFANYIKA JUMAPILI HII AMBAPO WANAHABARI VENANCE MATINYA NA
JOACHIM NYAMBO WALIIBUKA MASHUJAA WA KUPANDA MLIMA MBEYA BAADA YA WADAU
WENGINE KUINGIA MITINI.