JK AWAAPISHA MAWAZIRI WA BARAZA JIPYA

  


Rais Jakaya Kikwete na  Makamu wake Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu Kiongozi, wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri baada ya kuapishwa leo Ikulu Dar es Salaam.