MAKAMU WA RAIS ASIMIKWA UCHIFU WA KABILA LA WAKONONGO ZIARANI TARAFA YA INYONGA WILAYANI MPANDA


Chifu Kayamba wa Inyonga akimsimika Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Billal uchifu wa kabila la wakonongo. Kulia kwake ni Mama Asha Billal Mke wa Makamu wa Rais na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Injinia Stella Manyanya.