Showing posts with label utabili wa hali ya hewa. Show all posts
Showing posts with label utabili wa hali ya hewa. Show all posts

TAZAMA MVUA ITAKAVYO ADIMIKA HAPA CHINI

MAMLAKA ya hali ya hewa Nchini mkoa wa Njombe imesema kuwa mvua zinazo enedelea kwa kiwango cha Chini ya wastani mpaka wastani kwa baadhi ya maeneo hapa nchini kwa mkoa wa Njombe Mvua zinatarajia kuisha mwezi Aprili wiki ya  nne.

 Kauli hiyo ya kiutabili imetolewa na meneja wa hali ya hewa mkoa wa Njombe Michael Abushiri wakati akizungumza na wanafauzi wa shule ya sekonda;li Njombe Njoss ambao wametembelea kito cha utafiti wa kilimo na hali ya hewa cha Igeri Mkoani Njombe.
Akitoa somo kwa wanafunzi hawa Abushiri anasema kuwa wakulima wanao endelea na kuandaa mashamba wahakikishe kuwa wanapanda mazao ambayo yanakomaa haraka kabla ya mwezi Apriti Mwishoni ambapo mvua zitaisha kwa mujibu wa tabiri.

Wanafunzi baada ya kupewa funzo juu ya hali ya hewa wanaambiwa vitu vinavyo fanya hali ya wewa kuwa ilivyo sasa tofauti na miaka ya nyuma.
Wakiwa wameifa kwa somo wanasema kuwa ni vyema watu wanao husika na kilimo wahakikishe kuwa wanafuatilia taarifa za hali ya hewa.
Je kunaumuhimu wa kufuatilia hali ya hewa na nini kifanyeke kuhakikisha hali ya hewa haipotezi ubora wake wa awali? Mwalimu anaeleza huku abushiri naye akiongeza.
TAZAMA MVUA ITAKAVYO ADIMIKA HAPA CHINI..................... 

JOTO LA BAHARINI LASABABISHA BARIDI NA MVUA NDOGONDOGO NJOMBE

MAMLAKA ya hali ya hewa Tanzania mkoa wa Njombe imesema kuwa mvua na baridi kali iliyopo katika baadhi ya mikoa ya nyanda za juu kusini inatokata na kuongezeka kwa joto kwenye bahari ya hindi.

Meneja wa mamlaka hiyo mkoa wa Njombe, Michael Abushiri alisema kuwa kwa mujibu wa utabili wa hali ya hewa wa siku kumi baadhi ya mikoa ya nyanda za juu kusini kutakuw ana hali ya mvua na mawingu kiasi na vipindi vya jua.

Abushiri akizungumza na Elimtaa Blog mkoani Njombe amesema kuwa hali hii imekuwa hivi kwa mwaka huu tofauti kidogo na mwaka jana ni kutokana na ongezeko la joto baharini.


"Joto la bahari ndilo linalo sababisha hii hali ya hewa mnayo iona kwa kuwa sasa majira yamebadirika kutokana na shughuli za kibinadamu na kwa mkoa wa njombe kutokana na hali ya ke ya ubaridi kukiwa na hali ya unyevuvyevu baridi huongezeka tofauti na maeneo mengine ya joto ambako kukiwa na unyevu huwa na joto" alisema Abushiri.


Aidha kutokana na hali ya hewa kuwa hivyo mamlaka hiyo inatoa hadhari kwa wakulima kuvuna mazao yao mapema kama mahidi yasije haribika kutokana na Mvua.


Hali ya hewa hiyo imesababisha baridi kali kwa maeneo ya Njombe mjini na jamii yake ikiwa imejisitiri kwa nguo nzito na mvua za rasharasa zikidondoka asubuhi, huku vipindi vya jua kikiwa kwa muda mfupi mchana.


Kwa wakuliama wanao andaa mashamba mamlaka inasema hali ya hewa hii haita kuwa na madhara kwa shughuli za uandaaji wa mashamba yao.


"Hali hii ya mvua ndogondogo hazina madhara kwa wale wanao fanya maandalizi ya mashamba yao kwa kuwa mvua hizi ni za mda mfupi tu na tahadhari hii tumeitoa katika vyo mbo vya habari lakini wananchi wamekuwa wavivu wa kufuatilia utabili wa hali ya hewa," Aliongeza Abushuri. 
Michael Abushiri meneja hali ya hewa Mkoa wa Njombe
Mcichael Abushiri meneja mamlaka ya hali ya hewa Tanzania mkoa wa Njombe
Utabiri wa hali ya hewa kwa tarehe 24 kuanzia usiku wa tarehe 23 saa tatu usiku

Utabiri wa hali ya hewa kwa tarehe 24 kuanzia usiku wa tarehe 23 saa tatu usiku

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE: 23/05/2016.

 [Mikoa ya Kagera na Mara]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.



[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
[Mikoa ya Pwani na Dar Es Salaam]:
[Mkoa wa Tanga na Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.



[Mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Njombe na Iringa]:
[Mikoa ya Simiyu, Mwanza, Geita na Shinyanga]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
23°C
16°C
12:32
12:28
D'SALAAM
30°C
23°C
12:27
12:11
DODOMA
28°C
17°C
12:40
12:26
KIGOMA           
30°C
18°C
01:02
12:52
MBEYA
21°C
10°C
12:53
12:31
IRINGA
25°C
14°C
12:42
12:24
MWANZA
30°C
18°C
12:45
12:43
TABORA
29°C
13°C
12:50
12:40
TANGA
31°C
23°C
12:25
12:15
ZANZIBAR
30°C
25°C
12:27
12:11

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini; na kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi; Makubwa kiasi hadi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 25/05/2016: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 23/05/2016.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Utabiri wa Hali ya Hewa Leo Machi 21 saa 21:00 mpaka Machi 22 saa 20:59

Utabiri wa Hali ya Hewa Leo Machi 21 saa 21:00 mpaka Machi 22 saa 20:59

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 21/03/2016.


[Mikoa ya Morogoro (Kusini), Njombe na Iringa]:
[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Katavi na Mbeya]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:

Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Simiyu, Shinyanga, Geita na Mwanza]:
[Mikoa ya Kagera, Mara, Kigoma na Tabora]:

Hali ya Mawingu kiasi mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Pwani na Morogoro (Kaskazini)]:
[Mikoa ya Tanga na Dar es Salaam]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.


ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA NJOMBE, IRINGA, RUVUMA, RUKWA, KATAVI, MBEYA, MTWARA, LINDI, SINGIDA, DODOMA NA MOROGORO (KUSINI).

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
32°C
18°C
12:39
12:44
D'SALAAM
34°C
27°C
12:28
12:33
DODOMA
32°C
22°C
12:42
12:47
KIGOMA           
32°C
21°C
01:06
01:11
MBEYA
25°C
17°C
12:51
12:56
IRINGA
30°C
18°C
12:42
12:47
MWANZA
29°C
23°C
12:53
12:58
TABORA
30°C
18°C
12:54
12:59
TANGA
34°C
27°C
12:29
12:34
ZANZIBAR
35°C
27°C
12:28
12:33

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini - Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 23/03/2016: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 21/03/2016.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Utabiri wa hali ya hewa kuanza saa 3:00 Usiku wa 21 Februari  mpaka 22 Februari

Utabiri wa hali ya hewa kuanza saa 3:00 Usiku wa 21 Februari mpaka 22 Februari


WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 21/02/2016.


[Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Katavi, Rukwa, Mbeya, Njombe na Iringa]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Singidana Dodoma]:
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro (Kusini)]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katikamaeneomachache na vipindivyajua

[Mikoa ya LindinaMtwara]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvuakatikamaeneomachache navipindivyajua

[Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro(Kaskazini) naPwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[VisiwavyaUnguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasina vipindivyajua


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
26°C
15°C
12:43
12:52
D'SALAAM
32°C
26°C
12:29
12:44
DODOMA
29°C
19°C
12:44
12:57
KIGOMA           
30°C
22°C
01:09
01:20
MBEYA
27°C
17°C
12:51
01:08
IRINGA
28°C
16°C
12:43
12:58
MWANZA
31°C
22°C
12:57
01:05
TABORA
31°C
18°C
12:57
01:08
TANGA
32°C
25°C
12:32
12:43
ZANZIBAR
33°C
26°C
12:29
12:44

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saakwa Pwani ya  Kaskazini nakutoka Kaskazinikwa kasi ya km 20 kwa saakwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: InatarajiwakuwanaMawimbi: MadogohadiMakubwa kiasi.

Matazamiokwasiku yaJumanne: 23/02/2016:Mabadilikokidogo.

Utabirihuuumetolewaleotarehe: 21/02/2016.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Kategori

Kategori