Showing posts with label Michezo YA LIGIKUU ZA NJE. Show all posts
Showing posts with label Michezo YA LIGIKUU ZA NJE. Show all posts
Ratiba ligi kuu uingeleza

Ratiba ligi kuu uingeleza

EPL
Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kesho inataraji kuendelea kwa michezo sita katika viwanja mbalimbali nchini humo.
Michezo ya kesho ni;
Everton – Arsenal                            15:45 EAT
Chelsea – West Ham United         18:00 EAT
Crystal Palace – Leicester City      18:00 EAT
Watford – Stoke City                      18:00 EAT
West Bromwich – Norwich City     18:00 EAT
Swansea City – Aston Villa           20:30 EAT
Liverpool yapata pigo, Gomez nje msimu mzima.

Liverpool yapata pigo, Gomez nje msimu mzima.



Beki wa kushoto wa Liverpool Joe Gomez atakosa mchezo wa Jumamosi
Beki wa kushoto wa klabu ya Liverpool, Joe Gomezatakua nje ya uwanja kwa msimu msimu uliobaki
Gomez mwenye umri wa miaka 18 aliumia goti akiichezea timu ya taifa ya England chini ya miaka 21 mchezo dhidi ya Kazakhstan.
Kinda huyo amecheza michezo mitano ya ligi kuu msimu huu toka alipojiunga na Liverpool akitokea timu ya Charlton kwa dau la pauni million 3.5.
Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp anatarajia kuanza mchezo wake wa kwanza siku ya jumamosi dhidi ya Tottenham huku akikosa huduma ya beki huyo.
Ligi ya mabingwa Ulaya kutimua vumbi leo

Ligi ya mabingwa Ulaya kutimua vumbi leo


Image captionMsimu wa michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2015-2016 kuanza leo
Msimu mpya wa michuano ya Ligi ya mabingwa wa Ulaya kwa msimu wa 2015-2016 utaanza leo kwa nyasi za Viwanja vinane kuwaka moto.
Katika kundi A, PSG itawaalika timu ya Malmo Ff kutoka Sweden huku Real Madrid, wakiwa wenyeji wa Shakhtar Donetsk, mchezo utakaopigwa kwenye Dimba la Santiago Bernabรฉu.
Katika kundi B PSV Eindhoven, ya Uholanzi watakua wenyeji wa Manchester United, toka Uingereza huku mchezaji wa zamani kwa kikosi hicho Memphis Depay, akirejea kucheza na timu yake hiyo ya zamani. Mchezo wingine wa kundi hili VfL Wolfsburg, ya Ujerumani watashuka dimbani kuwakabili CSKA Moscow, kutoka Urusi.
Michezo mingine itayopigwa leo hi ya michuano hii.
Kundi C
Galatasaray na Atletico Madrid
Benfica na FC Astana
KUNDI D
Man City na Juventus
Sevilla na Borussia Monchengladbach
Full time ya Liverpool vs West Ham nimekuwekea hapa

Full time ya Liverpool vs West Ham nimekuwekea hapa

Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi mbili za mwanzo na kutoa sare moja, klabu ya Liverpool leo imeanza kuonja joto ya jiwe katika Barclays premier league.
 
Wakicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Anfield – Liverpool wamepoteza mchezo wao wa kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha 3-0 kutoka West Ham.
 
Magoli ya West Ham ambao walifungua ligi kwa kuifunga Arsenal – yalifungwa na Lanzini katika dakika ya 3, Noble akaongeza la pili dakika ya 29, Sakho akafunga biashara kwa kushindilia msumari wa mwisho dakika ya 90.
Vikosi vilipangwa hivi: Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Lovren, Gomez (Ibe 78), Can (Moreno 45), Lucas, Milner, Firmino (Ings 61), Benteke, Coutinho.
Subs not used: Sakho, Origi, Bogdan, Rossiter.
Booked: Lucas, Ings, Clyne.
Sent off: Coutinho 52.
West Ham: Randolph, Tomkins, Reid, Ogbonna, Cresswell, Kouyate, Obiang, Noble (Oxford 81), Lanzini, Sakho (Cullen 90), Payet (Jarvis 88).
Zinazotajwa kuwa picha 10 kali za ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza ziko hapa

Zinazotajwa kuwa picha 10 kali za ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza ziko hapa

Baada ya muda mrefu wa mapumziko kwa Ligi mbalimbali Duniani, sasa tunarudi tena kwa mwanzo wa msimu mpya wa Ligi Kuu Uingereza ambao umeanza August 8 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Uingereza, sas mtu wangu wa nguvu nakusogezea picha 10 zinazotajwa kuwa kali katika ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza.

Hizi ndizo picha 10 bora za mwanzo wa msimu kwa mujibu wa mtandao wa talksport.com
albrighton
Albrighton ni mchezaji wa zamani wa Aston Villa ameshinda goli moja na kutengeneza nafasi zilizoifanya Leicester City kuibuka na ushindi wa goli 4-2 dhidi ya Sunderland
harry-kane_0
Boy wonder Harry Kane alishindwa kupenya ukuta wa walinzi wa Manchester United
walker
Kyle Walker alicheza vizuri kabla ya kujifunga goli moja lililoipa ushindi Manchester United wa goli 1-0
miguel-layun
Watford walianza michuano hiyo kwa sare 2-2 ila Miguel Layun alipachika goli la kwanza
bournemouth_0
Kikosi cha Bournemouth ambacho kiliingia kucheza mchezo wake wa kwanza toka ipande Ligi Kuu msimu huu
tommy-elphick
Tommy Elphick akipiga kichwa katika kuisaidia timu yake ya Bournemouth ipate ushindi
gustede
Rudy Gustede akipiga mpira wa kichwa katika harakati za kuisaidia timu yake ipate ushindi.
ross-barkley
Ross Barkley alianza msimu vizuri kwa kuifungia Everton goli
crystal-palace
Wachezaji wa Crystal Palace walioifunga Norwich City goli 3-1


advocaat_0
Kocha wa Sunderland Dick Advocaat akiwa hamini kilichotokea baada ya kufungwa na Leicester City goli 4-2
LIGI KUU ENGLAND : MAN UTD YAICHAPA TOTTENHAM

LIGI KUU ENGLAND : MAN UTD YAICHAPA TOTTENHAM




Manchester United new boy Memphis Depay (centre) congratulates Wayne Rooney as the home side take a 1-0 lead
Jan Vertonghen (left) looks to the turf as Rooney is joined by Depay and Juan Mata in celebration of United's opener

Kategori

Kategori