Showing posts with label March 20. Show all posts
Showing posts with label March 20. Show all posts

RUGE MUTAHABA: NI KWELI MAKONDA ALIVAMIA CLOUDS USIKU AKIWA NA BUNDUKI

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, leo katika kipindi cha Clouds360 kinachorushwa katika kituo cha runinga cha Clouds Tv, ameongea kuhusu tetesi zilizokuwa zikisambaa kwamba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amekivamia kituo hicho.
1
Akizungumza na watangazaji wa kipindi hicho, Ruge aliongea kwa hisia na kuthibitisha kuwa tukio hilo lilitokea siku ya ijumaa ya tarehe 17 majira ya usiku kituoni hapo.
Alieleza kuwa, siku ya Alhamisi RC makonda alifika katika kituo hicho na kuongea na watangazaji wa SHILAWADU, Sudy Brown na Qwisser ambapo alisema kuwa wanapiga tu stori.
“Mtangazaji mmoja alinifuata akaniambia wamefanya mahojiano na mwanamke anayedaiwa kuwa amezaa na Askofu Gwajima lakini Gwajima mwenyewe hawajampata. Niliwaambia watangazaji kama hawajampata Gwajima, basi kipindi hicho kisirushwe kwa kuwa hakina ‘balance’ na wamwambie Makonda.”
“Gwajima alinipigia simu akisema amesikia kuwa kuna kipindi chake, nikamwambia kuwa hakitarushwa kwa sababu hatujasikia pande zote. Na nikampigia simu mkuu wa vipindi kumwambia ahakikishe kuwa kipindi hicho hakirushwi kwa vile hakijabalance.”
“Ijumaa saa 5 usiku nikapigiwa simu na Afisa Rasilimali Watu wa Clouds kuwa Makonda amekuja ofisini akiwa na Askari na wana bunduki. Mlinzi hakusita kumruhusu aingie kwa vile amemzoea Makonda, ila alishtushwa na Askari wale waliokuwa na Bunduki.”
“Nilimwambia mlizi aende juu studio aone kuna nini na alipokwenda alimkuta Makonda anachukua kipindi kwenye ‘flash’ kisha akaondoka nayo. Hakuna kijana yeyote aliyepigwa usiku ule lakini tatizo kubwa ni namna tukio zima lilivyotokea.”
“Makonda alikuja pale na Askari baada ya kuona kipindi chake hakirushwi, hivyo ni kama alikuja kuhoji sababu za kutorushwa kwa kipindi hicho.” Alisema Ruge Mutahaba wakati wa mahojiano leo asubuhi.
Akizungumza kuhusu video za kamera za ulinzi (CCTV) zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, Ruge alikiri kuwa video hizo ni za Clouds lakini hajui ni nani alizitoa kwa sababu wafanyakazi wengi wanafahamu mitambo ya CCTV ilipo hivyo yeyote anaweza kutoa.
Vilevile Ruge ameeleza kuwa amesikitishwa sana na kitendo alichokifanya rafiki yake Paul Makonda kwani kilikuwa ni kitendo cha kuivunjia heshima Clouds Media Group pamoja na wadau wengine. “Makonda tumesaidiana sana tangu akiwa mkuu wa Wilaya. Kwa nini leo anafika kuja ofisini kwangu na bunduki?” alisema.
“Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam lakini ni mdogo sana kwangu kiumri, lazima tuheshimiane. Sijayasema haya kwa sababu nataka mtu atumbuliwe, bali nataka heshima kwenye kile tunachokifanya.”
“Sasa tunakuwa tunampa Rais Magufuli mambo mengine ya kufanya ambayo hakutakiwa kuwa anayawaza.”
Pamoja na hayo aliongeza kuwa, wao kama Clouds Media Group hawana ugomvi na serikali na ameahidi kutoa nafasi kwa kiongozi yeyote mwenye ajenda ya maendeleo kuja Clouds na atapewa muda wa kuzungumza. “Sisi tunatafuta viongozi wabunifu. Viongozi wanaokuja na mipango inayoweza kumwezesha mnyonge kuuona mwanga. Viongozi wanapaswa kufanya mijadala ya namna ya kuongeza maendeleo. Inapaswa tushirikiane kutengeneza timu moja na kushirikiana.”
Mkurugenzi Ruge Mutahaba, alimaliza kwa kusema kuwa amelizungumzia jambo hilo leo ili limalizike na watu waendelee kufanya mambo mengine ya kuisaidia nchi kimaendeleo. Vilevile amewataka viongozi na wanasiasa kutokushindana kupata ‘kiki’ kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

from Blogger http://ift.tt/2mMeRhU
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2mMrU2C
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nso4zm
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2n0OrJS
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nDIB4s
via IFTTT

BREAKING: VIONGOZI WA KAMATI YA BUNGE WATANGAZA KUJIUZULU

Viongozi wa Kamati ya Bunge, Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wametangaza kujiuzulu nyadhifa zao kwa kile kinachodaiwa kuwa ni serikali kuingilia majukumu yao.
Wabunge-wakiwa-ndani-ya-ukumbi-wa-Bunge-la-Tanzania
Viongozi hao wamendika barua na kuzituma kwenda Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kueleza uamuzi huo walioamua kuuchukua leo.

from Blogger http://ift.tt/2nrSykZ
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2mMrKbD
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2mI2QsW
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2n0TPwW
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nKYkvf
via IFTTT

Tanzania na Rwanda miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani

Tanzania na Rwanda miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionNorway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani
Tanzania Rwanda na Burundi zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani.
Rwanda iko nafasi ya 151 , Tanzania nafasi ya 153 huku Burundi ikiwa nafasi ya 154 kati ya nchi 155.
Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa na kumshinda jirani wake Denmark, ambayo ichukua nafasi ya kwanza mwaka uliopita.
Ripoti hiyo inaangazia furaha watu waliyo nayona ni kwa nini.
Denmark, Iceland, Uswisi na Finland zinachukua nafasi tatu za kwanza huku nchi ya Jamhuri ya Afrika ya katika ikichukua nafasi ya mwisho kati nchi zenye watu wasio na faraha duniani.Haki miliki ya pichaAFP
Mataifa ya magharibi mwa Ulaya na Marekani pia nayo yako na watu wenye furaha duniani wakati Marekani ikichukua nafasi ya 14 na Uingereza nafasi ya 19.
Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara na zile zinazokumbwa na mizozo, zina alama za chini. Syria ilichukua nafasi ya 152 kati ya nchi 155 huku Yemen na Sudan Kusini, nchi zinazokumbwa na njaa zikichukua nafasi za 146 na 147 mtawalia
Nchi zenye watu walio na furaha na wasio na furaha Duniani
Nchi zenye watu walio na furaha DunianiNchi zenye watu wasio na furaha Duniani
1. Norway 146. Yemen
2. Denmark 147. Sudan Kusini
3. Iceland 148. Liberia
4. Uswizi 149. Guinea
5. Finland 150. Togo
6. Uholanzi 151. Rwanda
7. Canada 152. Syria
8. New Zealand 153. Tanzania
9. Australia 154. Burundi
10. Sweden 155. Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mada zinazohusiana

from Blogger http://ift.tt/2nVPEl3
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2n06al2
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nK8A72
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2mMjfgx
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nsuuhP
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2n0N91y
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nDuNaa
via IFTTT

Tanzania na Rwanda miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani

Tanzania na Rwanda miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionNorway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani
Tanzania Rwanda na Burundi zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani.
Rwanda iko nafasi ya 151 , Tanzania nafasi ya 153 huku Burundi ikiwa nafasi ya 154 kati ya nchi 155.
Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa na kumshinda jirani wake Denmark, ambayo ichukua nafasi ya kwanza mwaka uliopita.
Ripoti hiyo inaangazia furaha watu waliyo nayona ni kwa nini.
Denmark, Iceland, Uswisi na Finland zinachukua nafasi tatu za kwanza huku nchi ya Jamhuri ya Afrika ya katika ikichukua nafasi ya mwisho kati nchi zenye watu wasio na faraha duniani.Haki miliki ya pichaAFP
Mataifa ya magharibi mwa Ulaya na Marekani pia nayo yako na watu wenye furaha duniani wakati Marekani ikichukua nafasi ya 14 na Uingereza nafasi ya 19.
Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara na zile zinazokumbwa na mizozo, zina alama za chini. Syria ilichukua nafasi ya 152 kati ya nchi 155 huku Yemen na Sudan Kusini, nchi zinazokumbwa na njaa zikichukua nafasi za 146 na 147 mtawalia
Nchi zenye watu walio na furaha na wasio na furaha Duniani
Nchi zenye watu walio na furaha DunianiNchi zenye watu wasio na furaha Duniani
1. Norway 146. Yemen
2. Denmark 147. Sudan Kusini
3. Iceland 148. Liberia
4. Uswizi 149. Guinea
5. Finland 150. Togo
6. Uholanzi 151. Rwanda
7. Canada 152. Syria
8. New Zealand 153. Tanzania
9. Australia 154. Burundi
10. Sweden 155. Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mada zinazohusiana

from Blogger http://ift.tt/2nVPEl3
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nrQslc
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2mMl4KF
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2mIqkxV
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2n0SnKS
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nL4lbv
via IFTTT

Kategori

Kategori