from Blogger http://ift.tt/2s4WVUv
via IFTTT
Exclusivee…Alichokisema Irine Uwoya Baada ya Dogo Janja Kumtaka Awe Mpenzi Wake..!!!
from Blogger http://ift.tt/2seN5hh
via IFTTT
HII NDIYO SHULE YA MSINGI ANAYOFUNDISHA MSANII ROMA MKATOLIKI
- “Mimi kitaaluma ni mwalimu wa hisabati, kutokana na kufeli mno somo hilo nimeanza kampeni ya kufundisha na kugawa vitabu kwa kuanza na shule hii kwa sababu pia nitakuja kufanya onyesho la muziki kwenye sikukuu ya Eid kwa mara ya kwanza,” alisema Roma.
“Nimekagua na kugundua kuwa Roma ni mwalimu mzuri wa hisabati hivyo tumemkaribisha afundishe wanafunzi bila hofu, tukiwa na imani kubwa kuwa wataelewa kwa sababu wanafundishwa na mtu wanayempenda na hii itaongeza morali ya wanafunzi shuleni hapa,” alisema Mwalimu Juma.
from Blogger http://ift.tt/2t62JvI
via IFTTT
RASMI IBRAHIM AJIBU NI MALI YA YANGA
from Blogger http://ift.tt/2t5PLOp
via IFTTT
Mwanamke amtupa mtoto wake ziwani
from Blogger http://ift.tt/2s4Kecg
via IFTTT
Roma Aamua Kurudi Kufundisha Shule
“Somo la hisabati ni miongoni mwa masomo yanayotengwa sana na wanafunzi wengi hivyo basi nikiwa kama mwalimu niliyepitia kufundisha somo hili, nimeona vyema kuhamasisha wanafunzi walipende na kuliamini. “Nitagawa vitabu vya hesabu kwa wanafunzi wa darasa la saba na pia kuwafundisha somo hilo. Kila mmoja nitahakikisha amehamasika na somo hili na kulipenda kama masomo mengine,” alisema R.O.M.A.
“Shoo itatambulika kama Nishushe Dar Live ambapo Roma akiwa na wasanii kibao wakiongozwa na Mr. Blue wataliamsha dude ndani ya Dar Live na kugonga nyimbo zake zote zinazobamba. “Nikukumbushe tu mara ya mwisho kwa R.O.M.A kupiga shoo ya kihistoria ilikuwa mwaka jana katika Mkesha wa Mwaka Mpya ambapo alipanda jukwaa moja na mkali, Darassa na kuzoa kijiji. sasa safari hii jibu utatoa mwenyewe akishuka jukwaani,” alisema Mbizo.
WENGINE SASA
“Kutakuwa na michezo mingi ya watoto kama vile kubembea, kuteleza, kuogelea, kucheza ndani ya ndege na mingine mingi.
“Katika kunogesha burudani kwa watoto, kwa mara ya kwanza mkali wa vichekesho anayebamba katika Kipindi cha Ze Comedy, Bambo atakuwepo kuvunja mbavu za watoto wote watakaojitokeza huku akigawa zawadi ndogondogo kwa watakaotoka chicha.
from Blogger http://ift.tt/2s4KlVp
via IFTTT
