Showing posts with label April 08. Show all posts
Showing posts with label April 08. Show all posts
DIAMOND ATISHIKA, AMUOMBA MSAMAHA ASKOFU GWAJIMA

DIAMOND ATISHIKA, AMUOMBA MSAMAHA ASKOFU GWAJIMA

Mwanamuziki Diamond Platnumz amemuomba msamaha Askofu Gwajima kufuatia kile kilichodaiwa na askofu huyo kuwa ameimbwa kwenye wimbo wa mtu anayepotosha haki ili kutetea vyeti feki.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mapema leo mchana Askofu Gwajima aliandika, “Aliyeniweka kwenye wimbo wa lengo la kupotosha haki ili kusapoti vyeti feki, jiandae, Almasi itageuka maji kesho!”
2
Kauli hii ya Askofu Gwajima imekuja ikiwa ni saa chache tu tangu mwanamuziki Diamond Platnumz alipotoa wimbo wake unaokwenda kwa jina la Acha Nikae Kimya ambapo ndani ya waliotajwa ni pamoja na Askofu Gwajima. Katika wimbo huo, Diamond alisema kuwa, ugomvi kati ya Makonda na Gwajima unachcochewa na dada mmoja kwenye mitandao.
Baada ya Gwajima kutoka maneno hayo, Diamond amejitokeza na kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram akifafanua kile alichokiimba kuhusu Gwajima kuwa hakina lengo baya, huku akimtaka Askofu Gwajima kutomgeuza maji kesho kanisani kwake, kwani yeye akimpania mtu huwa hatoki
“Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba๐Ÿ˜Ÿ….. lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa… Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: “mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea….ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea…” aliandika Diamond

Aliendelea kufafanua, “Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza…nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana…ikapelekea hadi kufikia hapa…asa hapo kosa langu mie liko wapi?๐Ÿ˜ญ
Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho ๐Ÿ‘, mana nakujua ukimuamulia mtu…. naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima๐Ÿ˜๐Ÿ˜†

from Blogger http://ift.tt/2pe1aJp
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oTx0vF
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oaf7bP
via IFTTT


Nimekuwekea Hapa Orodha ya Nchi Zenye Matajiri Wengi Zaidi Duniani..Tanzania Wapo..?

Nimekuwekea Hapa Orodha ya Nchi Zenye Matajiri Wengi Zaidi Duniani..Tanzania Wapo..?

Baada ya Shirika la Fedha duniani ‘IMF’ kutangaza kuongezeka kwa uchumi wa dunia ukilinganisha na mwaka 2016, leo April 8 2017 nakusogezea list ya nchi zenye mabilionea wengi zaidi duniani kwa mwaka 2017, kwa mujibu wa tovuti ya takwimu Statista.
Takwimu hizi zinaonesha China ndiyo nchi yenye mabilionea wengi duniani ambao ni zaidi ya 609 ikifuatiwa na Marekani yenye mabilionea 552. Katika list hii Sweden inakamata nafasi ya mwisho ikiwa na mabilionea 17.
Tu

from Blogger http://ift.tt/2nr415g
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2ocvk1H
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nrxn3x
via IFTTT


Hataree..Aliyetengeneza Virusi vya Ukimwi Aibuka..Adai Walikuwa na Lengo la Kutaka Kuamaliza Watu Weusi na Mashoga Duniani..Afunguka Haya Makubwa Kuhusu Tiba Yake..!!!

Hataree..Aliyetengeneza Virusi vya Ukimwi Aibuka..Adai Walikuwa na Lengo la Kutaka Kuamaliza Watu Weusi na Mashoga Duniani..Afunguka Haya Makubwa Kuhusu Tiba Yake..!!!

Ameua maelfu na maelfu ya watu, alitengeneza ugonjwa huu mnamo miaka ya 1970, na sasa daktari huyu kwa jina Robert Gallo ametoka adharani na kusema amepata dawa ya kutibu ugonjwa huo.
Robert Gallo anaelezwa kwamba alihusika na vita vya kibaiolojia kwa lengo la kuwaondosha watu weusi na mashoga duniani katika miaka ya 1970..

from Blogger http://ift.tt/2oa2PQX
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oTxcuA
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oaf5kd
via IFTTT


Ukweli Mchungu.. Hizi Ndio Mbinu Chafu Zinazotumiwa na Maadui wa Rais Magufuli..!!!

Ukweli Mchungu.. Hizi Ndio Mbinu Chafu Zinazotumiwa na Maadui wa Rais Magufuli..!!!

Nimekuwa nikisoma “comments” nyingi sana zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.
Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.
Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.
Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe. 
Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.
Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo “MALAIKA”. Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za “matukio” na “maigizo”. Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.
Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.
Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.
Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.
Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.
Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It’s just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na “MAADUI” imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu “inaendelea”. Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.
Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa

from Blogger http://ift.tt/2pedkSe
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oTuWnm
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oal3BJ
via IFTTT


RAIS WANGU MAGUFULI: Waziri Wako wa VIWANDA Ndio Atakayetuangusha Kwenye Tanzania ya Viwanda..!!!!

RAIS WANGU MAGUFULI: Waziri Wako wa VIWANDA Ndio Atakayetuangusha Kwenye Tanzania ya Viwanda..!!!!

niseme tu ukweli kuwa viwanda havijengwi siku moja pengine hata mwaka mmoja!
mwanzoni wananchi waliaminishwa kuwa serikali ndo itajenga viwanda lakin baadae mambo yalibadilika tukaambiwa wawekezaji ndo watakuja kujenga viwanda!
wazungu na wachna wanatucheka sana kwa kuwa hatujui tunatoka wap tunaelekea wapi!
mwijage kamuangusha rais kwa kuwa hakuja na mpango wa kweli wa kujenga viwanda! huwezi kutuambia kuna kiwanda cha matrekta kinajengwa wakat hakuna hata malighafi moja ya trekta inayotengenezwa nchini, Hiyo ni ASSEMBLY kwa maana hata goroli au taa ya trekta inatengenezwa nje huko! na kiwanda kitaishia kuleta ajira ya watu 50 tu
hv mfano kwa kuwatumia hata SUMA JKT tungeanza na kujenga kiwanda kama cha SAMAKI, tukanunua meli zetu hata mbili kubwa za maana zenye crane ya kukamata samaki wakubwa kabisa! kwanza kiwanda kingekuwa pure and 100% tanzanian! 
kiwanda hchohcho cha samaki kingetoa BYPRODUCTS ambazo tungetengeneza hata chakula cha kuku, mafuta ya samaki na mbolea ya asili pia! hapohapo tungetengeneza ajira kibao ukianzia baharini ajira, kiwandani ajira, wasambazaji ajira, wauzaji ajira, yan mji ajira ajira ajira! huo ni mfano tu wa kiwanda kimoja ambacho hata gharama yake ingekuwa ndogo na soko lake la uhakika wa 100% hata kama tungeuzia jesh tu kiwanda kingepata mabilioni kila kukicha!
halafu tungekuwa tunauziana samaki hata elfu 4 kwa kilo
swali langu kwa mwijage je hata kiwanda hcho cha mfano kinahtaji uwekezaji kutoka nje au waziri na wewe upo kwenye mpango wa kumuangusha raisi wetu!??? 
swali la pili, je kwa kutumia mfano huo wa kiwanda cha samaki je ingeshndikana kujenga viwanda vingi vya kutumia malighafi zetu wenyewe ambavyo ving vingetokana na mazao ambayo yangewapa ajira kubwa watanzania? jaman mwijage hata kiwanda cha karatasi ambacho miti ipo iringa? hujaona hlo mpaka ulete kiwanda cha ku ASSEMBLE mavitu yaliyokwisha tengenezwa nje? hapa panatia shaka !
najua wapo watakaonizodoa na kusema sina maana lakin ukweli utabakia ukweli, huwezi kushndana na wazungu eti kutengeneza magari wakati wao walishajiimarisha kwa miaka zaid ya 200!
I wish ningekuwa mie ndo waziri wa viwanda! haki ya mungu leo hii tayari ningeshajenga viwanda na ela ya magufuli ningekuwa nimesharudisha na faida kibao mpaka sasa rais angekuwa anafurahia matunda ya kuhubiri viwanda huko na huko wakat wa kampeni! napata uchungu wa kutaman hata kukata kichwa cha mtu kumuweka alama tu ajue alikosea!
lazima kufanya uthubutu sio kutegemea wawekezaji hadi kiwanda cha kugharimu bilioni 5 unaleta mwekezaji ni aibu!
mwijage ana maneno mengi sana mdomoni mpaka anakera! umemdanganya raisi eti kuna viwanda elfu 52 khaaaa! yan hata mtu akiwa na cherehani mbili za kushona nguo basi imekuwa kiwanda khaaaa:confused::(:rolleyes:
tupishe bwana mwijage muda unaenda na unaweka kiwingu sie tunataka viwanda vya watanzania sio wahindi na wachna!
uwezo tunao na nia tunayo tukiamua tutatoka hapa tulipo

from Blogger http://ift.tt/2oQeFCj
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2ocwPgA
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nrjzWN
via IFTTT


Kategori

Kategori