Showing posts with label April 08. Show all posts
Showing posts with label April 08. Show all posts
DIAMOND ATISHIKA, AMUOMBA MSAMAHA ASKOFU GWAJIMA

DIAMOND ATISHIKA, AMUOMBA MSAMAHA ASKOFU GWAJIMA

Mwanamuziki Diamond Platnumz amemuomba msamaha Askofu Gwajima kufuatia kile kilichodaiwa na askofu huyo kuwa ameimbwa kwenye wimbo wa mtu anayepotosha haki ili kutetea vyeti feki.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mapema leo mchana Askofu Gwajima aliandika, “Aliyeniweka kwenye wimbo wa lengo la kupotosha haki ili kusapoti vyeti feki, jiandae, Almasi itageuka maji kesho!”
2
Kauli hii ya Askofu Gwajima imekuja ikiwa ni saa chache tu tangu mwanamuziki Diamond Platnumz alipotoa wimbo wake unaokwenda kwa jina la Acha Nikae Kimya ambapo ndani ya waliotajwa ni pamoja na Askofu Gwajima. Katika wimbo huo, Diamond alisema kuwa, ugomvi kati ya Makonda na Gwajima unachcochewa na dada mmoja kwenye mitandao.
Baada ya Gwajima kutoka maneno hayo, Diamond amejitokeza na kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram akifafanua kile alichokiimba kuhusu Gwajima kuwa hakina lengo baya, huku akimtaka Askofu Gwajima kutomgeuza maji kesho kanisani kwake, kwani yeye akimpania mtu huwa hatoki
“Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba๐Ÿ˜Ÿ….. lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa… Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: “mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea….ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea…” aliandika Diamond

Aliendelea kufafanua, “Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza…nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana…ikapelekea hadi kufikia hapa…asa hapo kosa langu mie liko wapi?๐Ÿ˜ญ
Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho ๐Ÿ‘, mana nakujua ukimuamulia mtu…. naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima๐Ÿ˜๐Ÿ˜†

from Blogger http://ift.tt/2pe1aJp
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oTx0vF
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oaf7bP
via IFTTT


Nimekuwekea Hapa Orodha ya Nchi Zenye Matajiri Wengi Zaidi Duniani..Tanzania Wapo..?

Nimekuwekea Hapa Orodha ya Nchi Zenye Matajiri Wengi Zaidi Duniani..Tanzania Wapo..?

Baada ya Shirika la Fedha duniani ‘IMF’ kutangaza kuongezeka kwa uchumi wa dunia ukilinganisha na mwaka 2016, leo April 8 2017 nakusogezea list ya nchi zenye mabilionea wengi zaidi duniani kwa mwaka 2017, kwa mujibu wa tovuti ya takwimu Statista.
Takwimu hizi zinaonesha China ndiyo nchi yenye mabilionea wengi duniani ambao ni zaidi ya 609 ikifuatiwa na Marekani yenye mabilionea 552. Katika list hii Sweden inakamata nafasi ya mwisho ikiwa na mabilionea 17.
Tu

from Blogger http://ift.tt/2nr415g
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2ocvk1H
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nrxn3x
via IFTTT


Hataree..Aliyetengeneza Virusi vya Ukimwi Aibuka..Adai Walikuwa na Lengo la Kutaka Kuamaliza Watu Weusi na Mashoga Duniani..Afunguka Haya Makubwa Kuhusu Tiba Yake..!!!

Hataree..Aliyetengeneza Virusi vya Ukimwi Aibuka..Adai Walikuwa na Lengo la Kutaka Kuamaliza Watu Weusi na Mashoga Duniani..Afunguka Haya Makubwa Kuhusu Tiba Yake..!!!

Ameua maelfu na maelfu ya watu, alitengeneza ugonjwa huu mnamo miaka ya 1970, na sasa daktari huyu kwa jina Robert Gallo ametoka adharani na kusema amepata dawa ya kutibu ugonjwa huo.
Robert Gallo anaelezwa kwamba alihusika na vita vya kibaiolojia kwa lengo la kuwaondosha watu weusi na mashoga duniani katika miaka ya 1970..

from Blogger http://ift.tt/2oa2PQX
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oTxcuA
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oaf5kd
via IFTTT


Kategori

Kategori