Showing posts with label April 04. Show all posts
Showing posts with label April 04. Show all posts
Harmorapa Anusurika Kupondwa Chupa Akiwa Jukwaani..!!!

Harmorapa Anusurika Kupondwa Chupa Akiwa Jukwaani..!!!

Usiku wa Jumamosi hii Harmorapa amenusurika kujeruhiwa vibaya na chupa wakati alipokuwa akitumbuiza katika ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama katika usiku wa Komela.
Akiongea na kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio leo, meneja wa rapper huyo Irene Sabuka amesema, Harmorapa alirushiwa chupa lakini kwa bahati nzuri alikwepa la sivyo yangekuwa yanazungumzwa mengine.
“Kiukweli hili jambo la kusikitisha sana, Harmorapa alikuwa stejini ana perfom ila kabla ya kumaliza show alitokea mtu mmoja akarusha chupa stejini bahati nzuri Harmorapa alikwepa ile chupa. Laiti asingekwepa au ingemkuta kwa bahati mbaya sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine,” amesema meneja huyo.
“Mimi naona kile kitendo ni wivu tu sababu watu hawajui maisha kila mtu ana namna yake anayotokea. Harmorapa ametokea mtaani anatafuta maisha yake leo anaibuka mtu anamrushia chupa na kutaka kumjeruhi, anaibuka mtu mwingine anasema kuwa anataka kumuonesha na kukomesha,” ameongez

from Blogger http://ift.tt/2oDVlFF
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oE6NRI
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2owQd9d
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oUhQW7
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nXKhov
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nXYv8F
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oya8Vd
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oyb2AR
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nAms2B
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nTL2xa
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2ozeCuN
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oyRvAG
via IFTTT


Exclusivee..Nay wa Mitego Aweka Wazi A – z Aliyoongea na Mwakyembe..Ashangazwa na Haya Kuhusu Waziri Huyo..!!!

Exclusivee..Nay wa Mitego Aweka Wazi A – z Aliyoongea na Mwakyembe..Ashangazwa na Haya Kuhusu Waziri Huyo..!!!

STAA aliyeamua kujitoa mhanga kwa kuwagonga wakuu wa nchi hivi karibu, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hatimaye amerejea kutoka Makao Makuu ya nchi mjini Dodoma, ambapo alienda kuitikia wito wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison George Mwakyembe.
Hivi karibuni Nay alishikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuachia Wimbo wa Wapo uliokuwa na mashairi ya kuilenga serikali lakini baada ya siku chache Waziri Mwakyembe alitoa agizo la kuachiwa msanii huyo na wimbo huo kupigwa baada ya kusikilizwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli na kufurahishwa nao
Baada ya Jeshi la Polisi kumuachia Nay, waziri alimuomba kufika Dodoma kukutana naye na kuzungumza mengi kuhusiana na sanaa. Haya ndiyo aliyozungumza na Mwakyembe.
“Nimeshaonana na Waziri Mwakyembe, kufuatia wito wake, ambapo nilifika hadi kwenye ofisi zake na tuliongea mambo mengi ikiwemo yeye kuniulizia kwa makini tungo yangu hiyo ambayo kwa kiasi kikubwa katika maongezi yetu alionekana akisifia sana kazi zangu.
“Kubwa zaidi aliloniambia yaani ikiwa pamoja na kunielezea dhamira ya Rais Magufuli, kuachia huru wimbo wangu, baada ya kuusikiliza kwa makini na kubaini hauna dosari ya kuufanya ufungiwe na mimi kunitia hatiani kama ilivyokuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi ambao waliniweka hadi rumande.
“Mwakyembe alisema kuwa rais amesikia wimbo wangu na kufurahishwa na mawazo yangu hivyo akaamua kumuagiza Over aniachie huru na wimbo uendelee kupigwa, ila aliomba kama kuna uwezekano nitunge wimbo mwingine ambao nitazungumzia mambo mengi ya kijamii ikiwa ni pamoja na juhudi za serikali.
“Zaidi alisema kuwa kama kuna uwezekano itabidi huu wimbo nifanye remix yake ambayo itanifanya niongeze mistari yenye kuzungumzia janga la madawa ya kulevya, wakwepa kodi na hata wale wote ambao wamekuwa wakipinga harakati za kiuchumi ikiwa sambamba na kuhujumu uchumi wetu.
“Waziri Mwakyembe, amenitaka pia niwe makini zaidi katika kazi yangu kwani nyimbo ambazo nimekuwa nikiimba hakika zimekuwa zikigusa moja kwa moja hisia za watu, jambo ambalo wengine wenye mioyo isiyokuwa na uvumilivu ni rahisi kushindwa kunivumilia na kujikuta wakitaka kunizuru moja kwa moja.
“Hakika nimefurahia ushauri wake na wawatu wengine kwani nikiwa katika ofisi zake niliweza kuongea pia na Naibu Waziri wa Kazi Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, ambaye pia aliniambia amekuwa akiheshimu na kuvutiwa sana na kazi zangu, hivyo naye kwa pamoja aliniambia niongeze umakini hasa kwenye tungo zangu ili siku moja zisiweze kuniingiza kwenye mitafaruku na watu.
“Kusema kweli wito wa Mwakyembe ulikuwa ni mzuri sana kwani umenipa mafunzo makubwa ya namna ya kuongeza ubunifu katika sanaa yangu, ila pia nimeweza kujifunza na kuwajua watu ambao sisi wasanii tumekuwa tukiwafikiria kama si wafuatiliaji wa kazi zetu, kumbe wao ndiyo wanasikiliza mstari kwa mstari.
“Nasema hivi kwa sababu wakati naongea na Mwakyembe alinigusia mistari kibao ya nyimbo zangu hata zile za nyuma jambo lililonishangaza na kunishitua kwani sikuwahi kutegemea kama angekuwa mfuatiliaji wa sanaa yetu kiasi cha kujua kila jambo, maana mimi hata kipindi anateuliwa nilikuwa namuona kama hataweza kusimamia kazi zetu kwa kuamini hajui chochote kwenye sanaa, kumbe sivyo hivyo.
“Nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Magufuli kwa wema wake alionionyesha, kwani amenijenga kwa kiasi kikubwa na kwamba nimefarijika kusikia akiusifia sana wimbo wangu kwani ni jambo linalotia moyo sana, nitumie fursa hii pia kumpongeza Mwakyembe kwa kunionyesha kuwa anaitambua sanaa na anajua kila kitu kwenye tasnia hii, jambo ambalo naamini kupitia yeye tutazidi kunufaika na kazi zetu za muziki ambazo wengi wetu ndiyo ajira tulizojianzishia,”
“Hakika kupitia wimbo wangu huu nimepata elimu ambayo nitahakikisha naifikisha kwa Watanzania walio wengi ili siku moja niweze kuisaidia serikali yangu kuelimisha mambo muhimu ambayo kwa namna moja au nyingine huko nyuma sikujua kama serikali iko karibu na wasanii namna hii,” alisema Nay.

from Blogger http://ift.tt/2oxa6ga
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nSeeVq
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oUpxvq
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oUIwWx
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nXPE71
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nFx15m
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oy3vSQ
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2o5ZPa3
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nTR9RZ
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nGuCHn
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nBoUpj
via IFTTT


Kimenukaa..Chadema Wakimbilia Mahakamni Kuzuia Uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki…!!!!

Kimenukaa..Chadema Wakimbilia Mahakamni Kuzuia Uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki…!!!!

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo kinatarajiwa kwenda Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kupinga uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki kutokana na Bunge kukataa majina yaliyowasilishwa na chama hicho kwa ajili ya nafasi mbili za Chadema za wabunge wa Afrika Mashariki kwa madai kuwa chama hicho hakikuzingatia suala la jinsia. 
Kwa mujibu wa Chadema kanuni zinataka theluthi moja ya wabunge wote (9) wa jumuiya hiyo kutoka Tanzania na siyo kutoka kwa kila chama. Kesi ya msingi itataka tafsiri ya theluthi moja.
Maamuzi hayo yamefikiwa leo usiku na kikao cha wabunge wa Chadema waliokutana mjini Dodoma.

from Blogger http://ift.tt/2nSsYUe
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2owQGZd
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oU17SH
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nXLe01
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nXMTTj
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oy813o
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oyseGn
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nAsEYg
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nTCR43
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oz6Lgq
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oyGO14
via IFTTT


Baada ya Kimya Kirefu..Kamanda Kova Aibuka na Kunena Haya Mazito Baada ya Kustaafu,Asimulia Jinsi Anavyonyanyaswa na Aliowasaidia..!!!

Baada ya Kimya Kirefu..Kamanda Kova Aibuka na Kunena Haya Mazito Baada ya Kustaafu,Asimulia Jinsi Anavyonyanyaswa na Aliowasaidia..!!!

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Suleiman Kova amesema marafiki wengi wa viongozi si marafiki wa kweli bali ni marafiki wa zile nafasi walizonazo.
Kamanda Kova alisema hayo katika uzinduzi wa Chuo Cha Fursa (APEC) kilichopo maeneo ya Ukonga, mwishoni mwa wiki ambapo mkurugenzi wa chuo hicho alimualika kuhudhuria hafla hiyo.
“Mkurugenzi wa APEC, Respicius Timanywa, alikuja ofisini kwangu mwaka 2010 akitaka ushauri na kupata maelekezo kuhusu mtaala wa kufundishia bodaboda, tuliandaa pamoja naye, leo amenikumbuka kanialika katika uzinduzi wa chuo,” alisema Kamanda Kova.
Aliongeza “Ni watu wachache sana wanaoweza kukumbuka, wengi ni marafiki wa kiti chako sio wewe, ukitoka katika kiti ukimpigia simu hapokei na mwingine anaitika kisha anazima kabisa.”
Aidha Kamanda huyo alisema kwa sasa anajishughulisha na kutoa ushauri wa masuala ya maafa, majanga na uokoaji.

from Blogger http://ift.tt/2owCnUD
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nSnwAr
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oU7eqi
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nXFrHC
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nXOSa3
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nFbAS0
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oyooNI
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2o5Wx6Q
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nTKZ4o
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nGuEz6
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nB2vZw
via IFTTT


Kategori

Kategori