Showing posts with label 2017 at 10:22AM. Show all posts
Showing posts with label 2017 at 10:22AM. Show all posts
Diamond Kuliamsha Dude Leo!

Diamond Kuliamsha Dude Leo!

Ni kweli Diamond anataka kuachia ngoma mpya Jumatano hii? Kama haufahamu hilo basi kaa tayari kulipokea hilo.
Msanii huyo amekuwa akiteka vichwa vya habari kila anapokaribia kuachia ngoma zake mpya kutokana na style anazotumia. Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameahidi kuachia wimbo wake huo siku ya kesho.

“@sallam_sk punguza Hasira ๐Ÿ˜ƒ… Xxl ya @Cloudfmtz na @Bdozen saba hadi Kumi Kamili Kesho…..☺,” ameandika Diamond katika mtandao huo.

 ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2szEDtn
via IFTTT


Roma Mkatoliki Usiposema Ukweli Leo, Wakatoliki Halisi Tutausema Jumanne..!!!

Roma Mkatoliki Usiposema Ukweli Leo, Wakatoliki Halisi Tutausema Jumanne..!!!

Leo tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli .

from Blogger http://ift.tt/2oVZd7S
via IFTTT


ASILIMIA 80 YA FEDHA ZA SERIKALI ZINAINGIZWA KATIKA MFUMO WA MANUNUZI YA UMMA

ASILIMIA 80 ya fedha za serikali zinaingia katika manunuzi ya umma ambako zinatekeleza miradi mbalimbali na zingine zikitumika isivyo katika michakato mbalimbali ya kutekeleza miradi ya maendeleo ya umma hapa nchini.
Waandishi wa nyanda za juu kusini, kusini na Mkoa wa Dodoma wanapewa mafunzo ili kwenda kufichua madudu na kuweka wazi mbivu na mbichi ili kuokoa mabilioni ya serikali yanayo wekezwa katika miradi na kutumika isivyo na kusababisha hasara kwa serikali na jamii.
Asilimia hizo zinawekwa bayana kwa wandishi wa habari na kuwa serikali asilimia 20 ambapo Mmlaka ya manunuzi ya umma PPRA inasema kuwa waandishi wakipatiwa elimu juu ya manunuzi ya umma na sheria zake wanaweza kuokoa fedha na kufichua wanao fanya uharibifu.
Waandishi nao wanasema kuwa baada ya mafunzo haya wanatarajia kuandika kwa weledi juu ya manunuzi ya umma.
Kwa mujibu wa sheria za manunuzi waandishi wanatakiwa kuwapo wakati wa ufunguzi wa tenda yoyote na kuwa jamii pia inatakiwa kujua kama kunatenda yoyote ile kwa kutangazwa katika Magazeti yanayo somwa na watu wengi hapa nchini na maeneo mengine.
WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU kUSINI, KUSINI NA DODOMA WAPO MBEYA SIKU TATU …………….

from Blogger http://ift.tt/2owfSPE
via IFTTT


Kategori

Kategori