Showing posts with label 2017 at 05:03PM. Show all posts
Showing posts with label 2017 at 05:03PM. Show all posts
MGANGA WA JADI AUAWA NAMTEJA WAKE BAADA YA KUSHINDWA KIMTIBU!

MGANGA WA JADI AUAWA NAMTEJA WAKE BAADA YA KUSHINDWA KIMTIBU!

Mganga wa jadi, Revocatus Kanjalanga (65) katika Wilaya ya Nkasi mkoani Ruvuma ameuawa kikatili kwa kuchomwa na mkuki mgongoni na mtu asiyefahamika ambaye anadaiwa kuwa ni mteja wake wa muda mrefu.
Ilielezwa kuwa wateja wa mganga huyo walikuwa wakimlalamika kuwa kwa kipindi kirefu mganga huyo amekuwa akiwatibu kwa kuwatoza fedha nyingi za malipo ya matibabu lakini wamekuwa hawaponi kupitia uganga wake.
Mtoto wa mganga huyo aliwaambia waandishi kuwa baba yake aliuawa juzi saa 1:30 asubuhi kwa kupigwa mkuki mgongoni akiwa anatembea mitaani katika kitongoji cha Chawe kilichopo katika Mji wa Namanyere wilayani Nkasi.
Alisema kuwa kwa muda mrefu watu ambao walikuwa wanatibiwa na baba yake walikuwa wakilalamika kutozwa fedha nyingi pamoja na mifugo lakini hawaponi, hali iliyosababisha kuanza kumuona kama tapeli.
Alisema watu hao walikuwa wanalalamikia kutofanikiwa matatizo yao ya kiafya, kutafuta mali pamoja na mazindiko.
“Pengine malalamiko hayo ndiyo yaliyosababisha mtuhumiwa aamue kumuua kwa kumchoma mkuki mgongoni, na aliyefanya hilo hajapatikana na mpaka sasa anatafutwa,” alisema.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, George Kyando alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mtuhumiwa anasakwa.

from Blogger http://ift.tt/2uFWwri
via IFTTT


Wakenya Nao Wacharuka Kumuulizia Roma..Wadai Mbona Viongozi Wapo Kimya

Wakenya Nao Wacharuka Kumuulizia Roma..Wadai Mbona Viongozi Wapo Kimya

Mtangazaji wa Kenya Willy Tuva Amefunguka Haya:
@Regrann from @mzaziwillytuva – WHERE IS ROMA? VIONGOZI MBONA KIMYA?
East Africans love Tanzania’s Hip Hop star @roma2030. How can he and his friends disappear without a trace?
What crime did he commit? Alikamatwa na majambazi au polisi? Kama ni polisi, kosa lake ni gani? Kama ni majambazi hatua gani imechukuliwa kuwatafuta? Nauliza #WhereIsRoma
VIONGOZI NA VYOMBO HUSIKA TUSAIDIENI KUJUA!! Msinyamaze, kama ilivyokuwa kwa @naytrueboy na hii pia SAIDIENI

from Blogger http://ift.tt/2o9UBJX
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nKPRHd
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nS5Zb4
via IFTTT


Babu Tale Amshukia Paul Makonda..Adai yeye Ndo Mwenye Jukumu la Kujua Roma Yupo Wapi

Babu Tale Amshukia Paul Makonda..Adai yeye Ndo Mwenye Jukumu la Kujua Roma Yupo Wapi

Uoga ni uzembe me nazani mwenye jukumu la kujua Roma yupo wapi ni Mkuu wa koa sababu yeye ndio kiongozi wa kamati ya usalama ya mkoa sasa ikiwa tumezunguka vituo vyote vya polisi na mwenzetu atumuoni nani wa kumfuata kumwambia tunamtaka mwenzetu kama sio @paulmakonda me naanza hili bila uoga mkuu wa mkoa naomba utusaidie kutuambia mnzetu @roma2030 alipo. Tukutane Tongwe mida hii me nipo kwa foleni wakuu #uogauzembe#freeroma

from Blogger http://ift.tt/2nkOLql
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2o9JlNV
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oMbdZr
via IFTTT


Amber Lulu: Bila Pombe Kali Siimbi, Siuzi Nyago!!

Amber Lulu: Bila Pombe Kali Siimbi, Siuzi Nyago!!

VIDEO Queen ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva amefungukia kazi zake kuwa bila kutumia kinywaji cha pombe kali kabla ya kuimba ama kuuza nyago kwenye video hawezi kufanya vizuri kwani atashindwa kuchetuka.
Akibonga na Ijumaa juzikati, Amber anayetikisa na Wimbo wa Watakoma alisema, mara nyingi atumiapo pombe kali humpa stimu ya kufanya kazi vizuri na pia ipo kwenye ‘damu.’

“Sijajua kwa nini yaani lakini nikitumia pombe kali huwa zinanipa stimu kinoma ya kufanya kazi zangu na bila hizo siimbi wala kushiriki freshi kwenye uandaaji wa video,” alisema Amber.

from Blogger http://ift.tt/2nKQWyP
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nKPV9V
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nRZ9Ct
via IFTTT


Kategori

Kategori