Picha za washindi wa wilaya ya Njombe pamoja na baadhi ambao kura hazikutosha.
Edward Mwalogo kura3870
Dioniol Msemwa Kura1676,
Mtewele, 186
JORAM HONGOLI, KURA 2233
Deo Sanga kura 7643
Katika hatua nyingine matokeo ya uchaguzi katika majimbo mawili yaliyo salia kama nilivyo kueleza hapo awali haya hapa na marekebisho kwa jimbo la Njombe magaribi baadhi ya wagombea kura zimeongezaka kama ifuatavyo.
Greison Lwenge ambaye ameongeza kwa kura 13715 ambapo kulikuwa ana wagombea 12 huku wagombea wengi wao wakiwa na kura chini ya nusu ya kula zake mbunge wa zamani wa nombo holo Thomas Nyimbo kura 2296 Yono Kevela, 1900,
Deo Sanga ameongoza kwa kura 7643 dhidi ya mgombea mwenzake Alimwimike Sahi 499 na katika jimbo la Njombe kusini Edward Mwalogo 3870, Maenda 218, Dioniol Msemwa 1676, Mtewele, 186, Luvanda 978, Mwaijinga 86, Mkwawa 152, Vitalis Konga 76.
Hata hivyo katika jimbo jipya la Lupembe kura za maoni mkuu wa shule ya Hagafilo JORAM HONGOLI, 2233 JESTON KADUMA, 1912 OSKA MSIGWA, 1656 EMMANUEL NYAGAWA, 1083 AVIKE KYENGA, 836 LENDA HONGOLI, 471 LEILA MALEKELA, 365 OSMONDI MALEKELA 103,
AIDHA KWA MAKETE MPAKA SASA MATOKEO HAYAJATOKA KUTOKANA NA KUHOFIA KUCHAKACHUA NA KUONA BORA YAFIKISHE YALIYO KATIKA HADI KOPY.
Kwa Makete endelea kuwa nasi hapa hapa yatakujia BOFYA HAPA KUJUA MATOKEO YOTE