UCHAGUZI wa kura za maoni ndani ya CCM Mkoani mkoa wa Njombe
kwa matokeo ya awari kwa majimbo mawili kati ya majimbo sita Wabunge
wanaomaliza mda wao wanaongoza kwa kura nyingi dhidi ya wanaotaka kuwarisi.
Akitoa matokeo hayo kwa waandishi wa habari Mkoani Njombe
kwa majimbo ambayo matokeo ya awali
yamepatikana, Katibu wa CCM mkoa wa Njombe Hosea Mpagike (Pichani) alisema kuwa katika
jimbo la Ludewa lililokuwa chini ya mbunge Deo Filikunjombe lilikuwa na
wagombea watatu na mbunge huyo kupata kura 18290 huku anaye mfuatia Zefania
Chaula kura 770 na wa tatu Kapten Jacob Mpangara 205.
Aidha alisema kuwa katika jimbo la Njombe Magharabi lililo
kuwa chini Greison Lwenge ambaye ameongeza kwa kura 13715 ambapo kulikuwa ana
wagombea 12 huku wagombea wengi wao
wakiwa na kura chini ya nusu ya kula zake mbunge wa zamani wa nombo holo Thomas
Nyimbo kura 2296 Yono Kevela, 1900, Petro John, 467 Richard Magenga 417Abraham Chaula 382 Dnform Mpumilwa 332,
Hoseana Bumogero 322.
Huku wengine katika matokeo ya awali Malumbo Mangula, 304,
Nepchard Msigwa 216 Abel Bade 106, na Estom Ngilangwa 47, huku katika jimbo la
Makambako wilaya ya Njombematokeo yake yamekamika na Deo Sanga ameongeza kwa
kura 7643 dhidi ya mgombea mwenzake Alimwimike Sahi 499 na katika jimbo la
Njombe kusini Edward Mwalogo 3870, Maenda 218, Dioniol Msemwa 1676, Mtewele,
186, Luvanda 978, Mwaijinga 86, Mkwawa 152, Vtalis Konga 76.
Matokeo zaidi endelea kutufuatilia yatakujia hapa hapa Bofya hapa kuona zaidi na matokeo jimbo lingine