Meneja wa ubora huduma kwa wateja waTigo Bi. Mwangaza Matotola, akiwakabidhi fulana wateja watigo kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Dula la TigoNkurumah.
|
Mwandishi wa habari wa TV1 Robert Latonga akifanya mahojiano na mtejawa Tigo, Hamadi Maliwata mkazi wa Mbagala kwenye maadhimisho ya wiki ya wateja waTigo.
|
Mteja wa Tigo Zenah Hamdi mkazi wa Tandika, akipata huduma toka kwa Mtoa huduma wa Kampuni ya Tigo
|
Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Nkurumah, Lulu Kikuli akifanyiwa mahojiano na Mwandishi wa habari wa TV1 Robert Latonga
|