Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ametangaza leo Mbele ya Waandishi wa Habari kuwa Amejitoa Rasmi CCM na Kwa Sasa Hata Jiunga na Chama Chochote Lakini Ataunga Mkono Mbio za Wanaotaka Mabadiliko.....
Kinginge Ametaja Sababu nyingi za Kujitoa CCM ikiwemo ya kukiuka katika wakati wa Mchakato wa kutafuta Mgombea Urais wa CCM kule Dodoma na CCM kutumia vijana kuwatukana Wazee....