JANA HALI ILIKUWA HIVI, MABOM YA MACHOZI YALIMIMINWA




Hali tete Njombe muda huu polisi wadaiwa kusababisha Raia

Askari wa FFU Njombe wakifungua barabara kuu ya Njombe - Iringa iliyofungwa kwa kuchomwa mataili na waandamanaji hao
Mmoja Kati ya majeruhi wa vurugu za FFU na Raia leo  MANDELE MKAZI WA RAMADHANI AMBAYE NI MWENDESHA PIKIPIKI MAARUFU KAMA BODABODA BAADA YA KUKAMATWA NA FFU KWENYE VURUGU HIZO