
Mwandishi wa Habari za michezo TZ na Mtangazaji wa show ya Sports Xtra@CloudsFM, Shaffih Dauda ameweka post kwenye ukurasa wake wa Instagram, inahusu ajali ya gari la mashabiki wa timu ya Simba Sports Club; “Wanachama wa tawi la mpira na maendeleo maarufu kama Simba Ukawa wamepata ajali wakiwa njiani kuelekea mkoani shinyanga,Taarifa zaidi zitafuata…“– @shaffih
