Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Jordan Mugilage aelezea tukio
hilo na kuwa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwatawanya watu hao na kuwa
wananchi wawe na amani na kuwa watu wengi wanao ongea wanasema wamesikia
wamesikia.
Amesema kuwa jeshi la polisi litatoa taarifa mda si mrefu
juu ya tukiao hilo na kuw akwa sasa yeye yupo kazini na kufanya utafiti wa watu
wanao fanya vurugu hizo na kuwa waliolketa vurugu wanasakwa.
Sikia sauti hapa ni mahojiano na Clouds Fm na mkuu wa Wilaya
ya Kinondoni Jordan Mugilage BOFYA HAPA
Sikiliza sauti hapa kutoka Clouds Fm Dar na kuandikw ana Elimtaa
Media
Picha na ITV-Tanzania
Picha na ITV-Tanzania