Baadhi ya maeneo kjatika jiji la dar kumechafuka baada ya
kikundi cha Panya Road kuingia mtaani na kupola na kuwateka watu kwa kuwaweka
chini ya ulinzi wao na kupola.
Kasha wanaingingia ndani katika nyumba za watu Mwananyamara,
na maeneo mengine na katika foreni za baramabani kupora watu walioko katika
magali.
Habari zinasema kuwa watu jijini hapo wanahangaika huku na
kule kwa kukimbia wakihofia kukutana na kundi hilo linalotumia silaha za jadi.
Ifuatayo ni sauti ya mtangazaji wa Clouds Fm akizungumza katika kipindi chao cha Amplifier muda si mrefu…BOFYA HAPA……..
Awali ilielezwa kuwa kudi hilo limeingia mtaani kwa lengo la
kulipiza kisasi kwa watu walio waua vibaka wawatatu na zimeanza kutokea
purukushani hizo majira ya saa 10 baada
ya kuwazika nduguzao hao walio uwawa siku ya mkesa wa mwaka mpya.
Kuweni watulivu wanaDar kwani jeshi la ulinzi litawadhibiti
watu hao kwani nji wachache kuliko inavyodhaniwa.
More News Update Your Mind, Tutaendelea kukujuza
Chanzo Clouds Fm Dar na kuandikwa na Elimtaa Media