Prof. JK azungumza na wazee Dodoma

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa
mikutano wa Mlimani jijini Dodoma Novemba 3, 2014  tayari kwa
mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014
waliouitisha ili kuzungumza na Rais Kikwete  maswala kadhaa ya
maendeleo.


Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani
jijini Dodoma Novemba 3, 2014  tayari kwa  mkutano wake na wazee
wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo.

Wimbo wa Taifa


Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya
kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma 
Novemba 3, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo.


Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete
mjini Dodoma Novemba 3, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo

Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete
na wazee wa mji wa Dodoma Novemba 3, 2014 waliouitisha ili
kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo

Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa  Mazungumzo kati ya Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma Novemba 3, 2014
waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa
Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na  wazee
wa mji wa Dodoma Novemba 3, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wazee wa mji wa Dodoma
Novemba 3, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo (PICHA NA IKULU).