JK. Afungua mkutano wa Takukuru Sadc wa 12 uliofsnyika hapa nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimpongeza Angel Magati, mwanafunzi wa IFM mwenye umri wa miaka 21,
kwa kuimba kwa ustadi sana  wimbo maalum wa Kuzuia na Kupambana na
Rushwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi na maafisa waandamizi wa
TAKUKURU ambao wenyeji wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za
Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum
Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya
tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimzawdia pipi mtoto  Claire Haule (2)
ambaye alikuwa akitoa burudani ya ngoma za utamaduni na kundi la
Hangano la kitongoji cha Pasiansi jijini Mwanza kabla ya kufungua
rasmi Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na
Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption)
ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika
Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utawala Bora
Kapt.George Mkuchika katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za
Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum
Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya
tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
na meza kuu wakiwa wamesimama kutoa heshima kwa msiba wa Rais wa
Zambia Marehemu Sata kabla ya kuanza kwa  Mkutano wa 12 wa Shirikisho
la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern
African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika
Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
 Sehemu ya wadau wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za
Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum
Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya
tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.

PICHA NA IKULU