MIRADIMINGI INAHUJUMIWA KUTOKANA NA USIMAMIZI HAFIFU

SERIKALI imetakiwa kuwa na wasimamizi wa milady mbalimbali inayo funguliwa hapa nchini ili kuepuka kuhujumiwa na kuifanya idumu na kuwasaidia wananchi wanao itegemea.

Kumekuwa na milady mingi ambayo imekuwa ikighalimu zaidi ya mamilioni ya shilingi na kuhujumiwa na baadhi ya watu wasio itakiamema nchi hii na wananchi wake.

Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa kijiji cha Rwanyo, kata ya Igurusi wilayani Mbarali Mkoami Mbeya, Righton Mwakitwange, mwishoni mwa wiki ofisini kwake,  ambako linajengwa bwawa kubwa la umwangiliaji ambalo litaanza kutumika hivi karibuni, alisema serikali inatakiwa kuweka kamati ya urinzi wa miradi inayofunguliwa hapa nchini.

Alisema kuwa kumekuwa na miradi mingi ambayo inagharamiwa na serikali na kuhujumiwa na wananchi wachache huku waliojengewa mradi huo wakiwa kimya na kuiachaa serikali.

Hivyo aliitaka serikali kuunda kamati ya watu wa uangalizi wa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Rwanyo ambalo litakapokamilika litakuwa muhimu kwa wakazi wa vijiji vinavyolima Mpunga katika kata ya Igurusi .

Alivitaja vijiji vitakavyo nufaika na mradi huo kuwa ni Vijiji vya Ruanyo, Chamoto, Uhabule Majenje Iduya vya kata ya Igurusi hadi katika vijiji vya Ruhanga kata ya Utengure Usangu wilayani Mbarali.

Aidha alisema kuwa katika vijiji cha Majenje wametengeneza barabara ya urefu wa kilometa mbili ambazo kwa sasa zinapitika na kuwasaidia wananchi kutoa mazao yao kwa uhakika.

Alisema mradi huo utawasaidia wananchi kulima mara mbili kwa mwaka kilimo hicho cha mpunga na kukabiliana na uhaba wa maji ambapo mara nyingi mvua imekuwa changamoto katika kilimo hichi.

Hivyo serikali inatakiwa pia kuhakikisha wananchi wanajengewa miundombinu ya maji katika ambayo itasambaa katika mashamba yao  na kusaidia maji wasipotee bure kutokana ana miundombinu mibovu.

1 comments:

Hello from France!
After visiting your blog, I invite you to join us in the "International Directory Blogspot".
"International Directory Blogspot" It's 160 Countries and 7200 Websites !
Missing yours join us
If you join us and follow our blog, you will have many more visitors.
It's very simple, you just have to follow our blog, enter your Country and your blog url in a comment, and you will be automatically integrate into the Country list.
We are fortunate to be on the Blogspot platform that offers the opportunity to speak to the world and to share different passions, fashion, paintings, art works, photos, poems.
So you will be able to find in different countries other people with passions similar to your ones.
I think this community could also interest you.
We ask you to follow the blog "Directory" because it will give you twice as many possibilities of visits to your blog!
Thank you for your understanding.
Please follow our blog, it will be very appreciate.
I wish you a great day, with the hope that you will follow our blog "Directory".
After your approval to join us, you will receive your badge
We ask that you follow our blog and place a badge of your choice on your blog, in order to introduce the "directory" to your friends.
Regards
Chris
I follow your blog, I hope it will please you
To find out more about us, click on the link below:
http://world-directory-sweetmelody.blogspot.com/