SWALI TATA: JAMANI HII NDO AMBULANCE ?




Mshambuliaji wa Coastal Union leo amevunjika mguu na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili kwa usafiri binafsi wa msamalia mwema,haya mambo mpaka lini ? jana nimeambiwa kwenye mchezo baina ya African Lyon na Kagera Sugar hakuepo hata askari mmoja,Je hii kweli ilikua sahihi ?Ambulance ni kwa michezo ya uwanja wa Taifa tu?