
Gari moshi lafanya ajali Afria Kusini
Maafisa nchini afrika kusini
wanasema takriban watu 19 wameuwawa baada ya gari moshi kugonga lori
lililokuwa limebeba wafanyikazi kwenye kivukio cha reli.
Habari kamili kuhusu ajali hiyo bado hazijulikani kikamilifu.
Ingawa kuna taarifa nyengine ambazo zinasema kuwa watu wapatao 24 huenda wameuwawa.
