JESHI la polisi mkoani hapa linamshikilia mlinzi wa
kanisa la Pentecoste Honeth mkazi wa karobe kwa tuhuma za kuhusika na na
wizi kanisani hapo.
Kamanda wa polisi mkoani hapa Diwani Athumani amethibitisha kutokea kwa
tukio hilo na kusema kuwa vitu vilivyo ibiwa ni pamoja na computer,
dramer, deki, redio, pamoja na dvd vyenye thamani ya Tsh million 2645.
Kamanda Athumani amesema mbinu zilizo tumika ni pamoja na kuchimba ukuta ofisini hapo kisha kuingia ndani na kuiba.
Aidha kamanda Athumani amewataka wele wanao nunua vitu vya wizi kuacha
mala moja kwani ukigundurika atua kali za kishelia zitachukuliwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
