WAKAZI wa kata ya Mabatini
ameuombauongozi wa maji safi
na majitaka mkoa wa Mbeya kuwarekebishia chemba ya bomba la majitaka linalotoa
maji machachu ambayo yanaweza kusababisha mlipuko wa magonjwa tumbo.
Wakizungumza na ELIMTAA kwa
nyakati tofauti wakazi hao wamesema chema iliyopo nyuma ya shule ya msingi
Mabatini imekuwa ni kelo kutona na na chemba hiyo kuvuja maji machafu.
Moja wa wakazi hao
aliyejitambulisha kwa jina la Alex Mwambepo amesema kuwa bomba hili licha ya
mamlaka hiyo kulizibua hivi karibuni lakini bado lina toa tena maji hayo ambayo
yanahatarisha afya yao.
Mamlaka ya maji safi na maji taka
ilizibua chemba hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita chemba hiyo imeanza kuvuja
tena maji machafu.
