WATU wawili
wamefariki dunia kwa
kukatwa na kitu
chenye ncha kali
sehemu mbalimbali za miili
yao katika msitu wa
Handa wilayani ya
Mbozi na kasha miili ya kuteketezwa kwa moto.
Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa
polisi mkoani hapa
Diwani Athumani amewataja watu
hao walio kufa kuwa Bonifasi
Haonga mwenye umri
wa miaka (24)
na Elias Mkondia
mwenye umri wa
miaka (35).
Amesema kuwa tukio hilo
limetokea Jana majira ya
saa 1:50 asubuhi ambapo
baada ya
tukio hilo watuhumiwa wa mauaji
hayo baada ya kukatakani miili ya marehemu hao waliiteketeza kwa moto
Aidha amesema
kuwa chanzo cha mauaji kuwatuhumu marehemu kuwa ni wezi wa wamifugo
na jeshi la
polisi linaendelea na uchunguzi
kuwasaka wahalifu hao.
