KUTOKANA na vijana wengi
kumaliza katika vyuo mbalimbali imebainika kuwapo kwa asilimia kubwa ya wasomi
wasio na ajila.
Hayo yamebainishwa leo na
baadhi ya vijana waliozungumzwa na Roc Fm kwa nyakati tofauti, mmoja wa vijana
hao Josephu Oswege amesema kuwa vijana wengi wanahitimu masomo yao lakini tatizo la ajila limekuwa kero
hivyo wengi wao kubaki mitaani
Ameongeza kwa kuoa ushauri
kwa vijana wenzake kuwa ni vizuri wakasoma masomo yenye wigo mpana wa ajila pia
kujenga tabia ya kujiajili ili kupunguza mrundikano wa vijana mitaani.
HABARI NA MAGDALENA OPIYO
