Mtu mmoja
anashikiliwa na jeshi
la polisi kwa
tuhuma za kukutwa
na bangi gram 500 katika maeneo
ya mhindani wilaya ya Mbarali
mkoani hapa
Tukio hilo
limetokea Juni 18 majira ya saa 2:00 jioni
wakati askari polisi
wakiwa doria walimkamata
mtuhumiwa huyo kakiwa
amethifadhi bidhaa hizo
katika mfuko wa
sandalesi.
Aidha kamanda wa
plisi mkoani Diwani Athmani amemtaja mtuhumiwa huyo
kuwa ni Bala Luhendo mwenye
umri wa miaka (40) mkazi
wa mapogoro na ameongeza kuwa mtuhumiwa ni
muuzaji na mtumiaji
wa bidhaa hiyo na
jeshi la polisi
linaindelea na uchunguzi
