MBEYA: BAJETI YATOLEA MAONI NA WANANCHI




WAKAZI Jijini Mbeya wametoa maoni yao mbalimbali kufuatia bajeti ya serikali Inayoendelea kujadilwa na wabunge Mjini Dodoma.

Akizungumza na Rock Fm Bw. Bashiru Rajabu amedai kuwa katika bajeti serkali lazima iwaangalie watu wa kima cha chini na pia iweze kuleta maendeleo katika taifa.

Aidha kwa upande wake Erick Njora amesema kuwa bajeti ya serkali lazima ikubaliwe na wananchi wote naiswe ya manufaa kwa watu wachache.